Ziara ya Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Pangani - Tanga ili kuhakikisha unakamilika kwa wakati na kuanza kutoa huduma kwa wananchi pamoja na kuchochea ukuaji wa shughuli za kiuchumi. TAZAMA HAPA
