Naibu Waziri Dkt.Maghembe ateta na Balozi wa Kenya nchini

DAR-Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini, Mhe. Catherine Karemu, tarehe 21 Agosti, 2026 katika ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam.
Mazungumzo hayo yamejikita katika kujadili namna bora ya kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili, pamoja na kubainisha malengo ya pamoja katika kuendeleza ushirikiano wauwili katika yenye kuleta maendeleo yenye manufaa kwa wananchi wa mataifa yote mawili.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here