TANGAZO KWA UMMA.
Mwenyekiti, Makamishna na Menejimenti ya Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) wanapenda kuwataarifu Wananchi na Wadau wake, kuanzia tarehe 10/08/2026 tume imehamia mji wa Serikali Mtumba kutoka eneo la Chimwaga-UDOM.
Imetolewa,
Kitengo Cha Mawasiliano Serikalini.
7/08/2026.
ANUANI MPYA YA TUME NI:
P.o.Box 1074,
Mtaa wa Utumishi 10
41207 Mtumba,
Dodoma.
Simu: +255 738 166 703
Barua pepe: secretary@psc.go.tz
