DAR-Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 chini ya Mwenyekiti wake Jaji Shabani Ally Lila inaanza kazi rasmi leo Agosti 24,2026 kwa kukusanya ushahidi kwa wananchi wa Kigamboni jijini Dar es Salaam.
