ZANZIBAR-Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye, Rais wa Jamhuri ya Burundi akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Septemba 2026.
Tags
Dr Samia Suluhu Hassan
Evariste Ndayishimiye
Habari
Hafidh Ameir Hassan
Picha
Picha Chaguo la Mhariri


