Tanzania kupokea wenyeji wa Miss World leo

NAIBU Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma tayari amewasili nchini Vietnam kushiriki Fainali ya Mlimbwende wa Dunia (Miss World 2026).
Katika fainali hizo zitakazofanyika leo Septemba 5,2026, Naibu Waziri Mwinjuma atapokea bendera ya mashindano hayo kuashiria uwenyeji wa Tanzania kwa mwaka 2027.Katika fainali ya leo, Tanzania inawakilishwa na Mlimbwende Latricia Ian Sawe.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here