NAIBU Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma amekabidhiwa rasmi bendera ikiwa ni ishara ya kupokea kijiti cha kuandaa mashindano ya 74 ya Ulimbwende wa Dunia mwaka 2027 (Miss World 2027).
Amekabidhiwa bendera hiyo Septemba 05, 2026 nchini Vietnam wakati wa mashindano ya Miss World 2026.







