Bima ya Afya kwa Wote: RC Mwanza azindua Awamu ya Pili

MWANZA- Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, CP Salum Hamduni leo Oktoba 22, 2026 amezindua rasmi Usajili wa Awamu ya Pili ya Utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote, huku akiwahamasisha wananchi kujiunga ili kuwa na uhakika wa kupata huduma za matibabu wanapozihitaji.
Amesema, Serikali imejipanga kuhakikisha wananchi wanapata huduma za afya zenye ubora wa hali ya juu.

Aidha, amewataka watoa huduma za afya kujiandaa ipasavyo na kushughulikia kwa haraka changamoto zitakazojitokeza ili kuhakikisha huduma zinatolewa kwa ufanisi.
Bima ya Afya kwa Wote, Jiunge Sasa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here