Acha Injili Iende Mbele Benki Kuu yawapa elimu watumishi wa Mungu namna ya kutambua, kupokea na kutunza fedha NA GODFREY NNKO VIONGOZI wa dini nchini wametakiwa kutambua kuwa, wana mchango mkubwa wa kuhakik…