Rais Magufuli alivyokutana na Rais Dkt.Mwinyi, Maalim Seif mjini Geita

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Maryam Mwinyi wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Geita kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi na mkewe Mama Maryam Mwinyi wakiangaliwa ngoma za utamaduni wakiwa na Mbunge wa Chato na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani baada ya kushuka kutoka katika ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyowaleta katika Uwanja wa ndege wa Geita walipofika kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi na mkewe Mama Maryam Mwinyi wakilakiwa na Mbunge wa Chato na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani baada ya kushuka kutoka katika ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyowaleta katika Uwanja wa ndege wa Geita walipofika kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi na mkewe Mama Maryam Mwinyi wakipata picha ya kumbukumbu na marubani na wafanyakazi wa ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) iliyowaleta katika Uwanja wa ndege wa Geita walipofika kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na wajumbe wa kamati ya Ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Geita alipowasili katika Uwanja wa ndege wa Geita kumtembelea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kijijini kwake Chato leo Alhamisi Januari 14, 2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yao ya pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad mara baada ya mazungumzo yao katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Januari 2021. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad akizungumza na Wanahabari mara baada ya kikao chao cha pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amewashika mikono Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi pamoja na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad mara baada ya kuzungumza na Wanahabari katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Januari 2021.PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments