Rais Samia amteua Dkt.Stergomena Tax kuwa Mbunge


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Katibu Mkuu wa nne wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Dkt. Stergomena Tax kuwa Mbunge.

Dkt.Tax amemaliza muda wake hivi karibuni baada ya kuchukua nafasi hiyo Septemba 2013 na aliaga rasmi Agosti 2021

Post a Comment

0 Comments