Serikali yakagua maandalizi Siku ya Mashujaa


KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU (SERA, BUNGE NA URATIBU) DKT. JOHN JINGU PAMOJA NA NAIBU WAKE BW. KASPAR MMUYA WAMEKAGUA MAANDALIZI YA KUELEKEA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA AMBAYO ITAADHIMISHWA KITAIFA KATIKA UWANJA WA MNARA WA MASHUJAA DODOMA TAREHE 25 JULAI, 2022

Post a Comment

0 Comments