Mayeleeeeeeeeeee, you did it again? Yes I did SAWA...

NA DIRAMAKINI

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Fiston Kalala Mayele ameipa suprise klabu yake katika mtanange wa jadi.

Ni kupitia mtanage wa watani wa jadi dhidi ya Simba SC katika Ngao ya Jamii ambayo inapigwa katika dimba la Benjamin Mkapa lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Ushindi, huo umepatikana baada ya Yanga SC katika kipindi cha awali kumaliza bila kuambulia bao hata moja huku watani zao kupitia winga wa Kimataifa wa Senegal anayecheza Simba, Pape Ousmane Sakho kutikisa nyavu dakika ya 16 ya kipindi cha kwanza.

Post a Comment

0 Comments