WANADIPLOMASIA:Tupo tayari kuwashirikisha Watanzania fursa leo saa tano kamili asubuhi

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum utakaofanyika leo Agosti 10, 2022 (Jumatano) kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada; Kukua kwa Diplomasia ya Uchumi na Fursa za Kiuchumi zinazopatikana Bara la Ulaya

Muda ukifika saa leo 5 kamili asubuhi utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3blWTkR

Au kupitia
Meeting ID: 865 3457 1971
Passcode: 651869

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Biashara Tanzania (NMB) na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Post a Comment

0 Comments