Waziri Mhagama amtembelea Rais mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akisalimiana na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya Pili, Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akiwa katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya Pili, Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake. Wakwanza kushoto ni mke wa Rais huyo Mstaafu Mama Siti Mwinyi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya Pili, Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake. Kulia kwake ni mke wa Rais huyo Mstaafu Mama Siti Mwinyi.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama akisindikizwa na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya Pili, Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea nyumbani kwake jijini Dar es Salaam ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake. Kulia kwake ni mke wa Rais huyo Mstaafu Mama Siti Mwinyi.
Mkurugenzi Msaidizi, Ofisi ya Rais - UTUMISHI anayesimamia Dawati la Viongozi Wastaafu wa Kitaifa, Bi. Nyasinde Mukono, akifafanua jambo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama wakati wa ziara ya kikazi ya Mhe. Jenista ya kumtembelea Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Awamu ya Pili, Mhe. Alhaj Ali Hassan Mwinyi ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news