Waziri Mkuu ateta na Mohamed wa Djibouti

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Djibouti, Abdoulkader Kamil Mohamed, jijini Tunis, Tunisia Agosti 29, 2022. Wote wawili walishiriki Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliomalizika nchini humo hivi karibuni.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Djibouti, Abdoulkader Kamil Mohamed, jijini Tunis, Tunisia Agosti 29, 2022. Wote wawili walishiriki Mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali wa TICAD uliomalizika nchini humo hivi karibuni (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

0 Comments