KAMATI YA USEMI YAPONGEZA UFADHILI MASOMO YA ELIMU YA JUU KWA VIJANA WANAOTOKA FAMILIA MASKINI

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Abdallah Chaurembo ameipongeza Serikali kwa kutoa ufadhili wa masomo ya elimu ya juu kwa vijana wanaotoka katika familia maskini ambazo ni walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini nchini ambao unaroatibiwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF).

Post a Comment

0 Comments