Makamu wa Rais Dkt.Mpango ateta na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isidor Mpango amekutana kwa mazungumzo ya faragha (Tete a tete ) na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. Antonio Guterres katika Ofisi za Umoja wa Mataifa jijini New York tarehe 22 Septemba 2022.Makamu wa Rais yuko nchini Marekani ambapo anatarajiwa kuhutubia Mkutano wa 77 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) unaondelea nchini nchini humo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news