Mtwara, Lindi na Ruvuma kuchelee! Naam, kesho mapema utafahamishwa fursa lukuki zilizopo USIKOSE!

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano maalum na muhimu kiuchumi utakaofanyika Jumamosi ya Septemba 17, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada:Mjadala wa Kitaifa juu ya maendeleo na fursa za kiuchumi zinazopatikana mikoa ya Kusini ambayo inajumuisha Lindi, Ruvuma na Mtwara

Muda ukifika saa 5 kamili asubuhi, Septemba 17, 2022 utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3RA3RTa

Au kupitia
Meeting ID: 824 7596 0934
Passcode: 943996

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya NMB na Mtandao wa Simu wa Airtel-Tanzania.

Post a Comment

0 Comments