Spika Dkt.Tulia ateta na wabunge kutoka Zimbabwe


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amefanya mazungumzo na Wabunge kutoka Bunge la Zimbabwe ambao pia ni Wajumbe wa Kamati ya Afya na Huduma kwa Watoto wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kanali Mstaafu Dkt. Joshua Murire katika kikao kilichofanyika Jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments