Muonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato

Muonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Chato Mkoani Geita tarehe 15 Oktoba, 2022. Hivi karibuni Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Geita ilipongeza uamuzi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuamua kujenga hospitali hiyo iliyopo Chato na wameshauri jitihada mbalimbali za kuitangaza hospitali hiyo zifanyike ili wananchi waweze kuifahamu na kwenda kupata huduma za matibabu hospitalini hapo.

Post a Comment

0 Comments