Wezi walinirudisha nyuma kiuchumi kwa kuvunja maduka yangu,sasa wamekoma

NA MWANDISHI WETU

NAITWA Juma, nilikuwa mfanyibiashara aliyetia fora katika suala zima la biashara. Nilikua na maduka ya kuuza bidhaa za kielektroniki kama vile radio, simu na bidhaa zingine.

Picha na Intaneti.

Biashara yangu ilikuwa imenawiri sana, kwani mjini mahali ambapo niliuzia bidhaa zangu, wateja walikuja kwenye maduka yangu pekee.

Jambo hili lilifanya biashara zingine kando yangu kufungwa kila mara. Wafanyibiashara wengine walianza kunionea gere, kwani walishusha bei ya bidhaa zao ili kuwavutia wateja, lakini hilo halikufua dafu kivyovyote. Ama kwa hakika biashara ndio ilikua kipaji changu maishani.

Nilikuwa nimesomea mambo ya biashara chuoni, hii pia ilinipiga jeki katika shughuli zangu za kila siku za biashara. Hali ilikuwa shwari hadi wakati ambapo maduka yangu yalianza kuvunjwa na kuibiwa kila mara.

Maduka yangu yalikuwa yakivunjwa kila baada ya wiki mbili na kuibiwa bidhaa mbalimbali. Nilijaribu kuajiri walinzi, lakini wengi wao ndio waligeuka kuwa wenye mikono mirefu katika maduka yangu ya kuuzia bidhaa za kielektroniki.

Hii iilikua ni fursa nzuri ya wafanyibiashara wenye biashara kama yangu kutia fora, kwani wizi ule ulinirudisha hatua nyingi nyuma.

Kila wakati ilikuwa ni kurudisha bidhaa zilizoibiwa, kwani biashara huwa haijakamilika kama haina bidhaa wakati wowote.

Nilitembea kila sehemu ya nchi nikitafuta suluhisho la kudumu la hali ile, lakini ilikua ni vigumu kupata suluhisho la kudumu. Siku moja niliamkia kwenye maduka yangu nikapigwa na butwaa punde tu nilipowasili. Maduka yote yalikuwa wazi.

Bidhaa zote zilikua zimeibiwa. Nilipoangalia kwenye kamera za CCTV hakuna chochote nilichoona kwa kuwa ilikua imepakwa mafuta, kwa hivyo haingeonesha lolote wakati wa tendo la wizi.

Sikupoteza imani na biashara ile, kwani nilitafuta mikopo kwenye benki na nikafungua biashara zile upya. Wakati huu niliajiri walinzi wengi ili kuepukana na wizi wa kila mara kwenye biashara zile.

Biashara zile zilikaa kwa muda wa mwaka moja bila wizi wowote kufanyika, hali ambayo ilileta mapato mengi zaidi. Nililipa mikopo yangu niliyokua nayo na hapo nikajipiga kifua kwamba wizi ulikua umetokomea na tukauzika katika kaburi la sahau.

Huu ulikua tu ni mwanzo wa mahangaiko. Maduka yale yalivunjwa mara nyingine ambapo mara hii yaliteketezwa moto pia ili kufanya nisiweze kufungua biashara kwa mara nyingine iwapo nilikuwa na wazo kama hilo.

Sikuwa na lolote la kufanya ila kusalimu amri na kukaa nyumbani, msongo wa mawazo ukinikumba. Hali hii ilipelekea vidonda vya tumbo kunikosesha usingizi, kwani nilikuwa mwathiriwa.

Marafiki wote walinitoroka, kwani kila waliponiona walidhani ilikuwa fursa yangu ya kuwaomba mikopo. Kampuni ya bima niliyokuwa nimejisajili nayo pia ilikawia wakati ule kunipa fidia ili nifufue biashara yangu kwa mpigo.
Nilipoteza tumaini kabisa wakati ule. Mke alinikimbia pamoja na watoto, kwani nisingeweza kukimu mahitaji ya familia.

Nilitembelea waganga mashuhuri kwa ushauri, lakini kila mara pesa zangu ndizo zilikua zikiisha. Wahubiri wa makanisani pia walijifanya kua na uwezo wa kutatua shida yangu, lakini yote yaliambulia patupu kwani nilipanda mbegu kila mara Jumapili kuwatajirisha tu.

Kila mtu kwenye mtaa nilipokua nikiishi alinifahamu kwani nyumba nilikua nimefungiwa kwa kukosa kodi. Nilikua nimechakaa ajabu.

Hakuna mahali popote ningekopa mkopo ili nianzishe biashara upya, kwa kuwa tayari mikopo niliyokua nayo nilikua nimefika ukiongo wa kuongezea mikopo ingine kwa wakati ule.

Nilipokua nikisoma mitandaoni kuhusu kazi nyingine ambazo ningefanya, nilikutana na wavuti kiwangadoctors palikua na nakala ambazo watu wengi walikua wamepitia shida kama yangu kwenye biashara zao, lakini madaktari wa Kiwanga walikua wamewasaidia kusuluhisha.

Nilifuata maagizo ya jinsi ambavyo ningewafikia. Siku iliyofuatia niliwasili katika ofisi zao mjini Nakuru tayari kuzika swala zima la wizi kwenye kaburi la sahau.

Nilihudumiwa na kurejea nyumbani. Baada ya siku tatu, kampuni ya bima ilinipigia simu kwamba ingegharamia maduka yangu yote yaliyoibiwa na kuteketezwa moto.

Baadaye nilifungua biashara zangu kwa mpigo na tangu siku ile hakuna siku hata moja maduka yangu yamevunjwa kwa kua hali ilikua shwari.

Mtu yeyote anayekumbwa na mambo ya wizi katika biashara kama nilivosumbuka anaweza kuwatembelea madaktari wa Kiwanga kwa usaidizi. Wanasuluhisha matatizo ya mapenzi, uchawi na mengineyo. Mcheki Dokta Kiwanga kupitia simu  +254769404965 au whatsapp utafurahia.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news