JUMAMOSI HII USIKOSE:Tathmini ya Uongozi wa Rais Dkt.Hussein Ali Mwinyi katika kuimarisha Demokrasia Zanzibar na Kudumisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa

WATCH Tanzania inakualika kushiriki mkutano muhimu na maalum utakaofanyika Jumamosi ya Novemba 19, 2022 kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada:Tathmini ya Uongozi wa Dkt. Hussein Ali Mwinyi katika kuimarisha Demokrasia Zanzibar na Kudumisha Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Kuanzia saa 5 kamili asubuhi, Novemba 9, 2022 - Jumamosi, utaweza kushiriki mkutano moja kwa moja kwa kubofya https://bit.ly/3TElm4V
Au kupitia

Meeting ID: 856 6167 2125
Passcode: 327133

Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Uhondo TV, Bongo 5, Clouds Digital, Global TV Online, , Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Mirror TV, MBI MEDIA, Lango la Habari, Mwanahabari Digital, Tughembe TV online, Daily News Digital, ITV na Azam TV.

Mkutano Huu umedhaminiwa na Benki ya NMB.

Karibu.

Post a Comment

0 Comments