Mheshimiwa Mchengerwa ateta na mwanamuziki Alikiba

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa leo Januari 26, 2023 amekutana na mwanamuziki Alikiba na kufanya naye mazungumzo ikiwa ni utamaduni wake aliojiwekea mara kwa mara kukutana na wadau mbalimbali wa sanaa,utamaduni na michezo nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news