Rais Alhaj Dkt.Mwinyi ajumuika na wananchi katika sala ya Ijumaa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na waumini katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar,Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nour Muhammad Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo Januari 20,2023 na kushoto kwa Rais ni Sheikh Othman Maalim na Katibu Mtendaji wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume.(Picha na Ikulu).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na waumini katika kuitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar,Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nour Muhammad Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia wananchi baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nour Muhammad Kwamchana Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia hotuba ya Ijumaa ikisomwa na Sheikh Othman Maalim, iliyofanyika katika Masjid Nour Muhammad Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo na kulia kwa Rais ni Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi na kushoto kwa Rais ni Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar,Sheikh Khalid Ali Mfaume.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Sheikh Othman Maalim, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Nour Muhammad Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B”Unguja leo.

Post a Comment

0 Comments