Spika wa Bunge la India (Lok Sabha) atembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti
Spika wa Bunge la India (Lok Sabha), Mhe. Om Birla ametembea Hifadhi ya Taifa Serengeti ikiwa ni sehemu ya mapumziko pamoja na kujionea vivutio mbalimbali vinavyopatikana katika Hifadhi hii akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje Mhe. Vita Kawawa (Mb) leo Januari 20, 2023.

Post a Comment

0 Comments