Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Januari 13, 2023

NA GODFREY NNKO

LEO Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.63 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.19 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Januari 13, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2297.59 na kuuzwa kwa shilingi 2320.57 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7511.91 na kuuzwa kwa shilingi 7584.55.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 2795.25 na kuuzwa kwa shilingi 2824.13 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.13 na kuuzwa kwa shilingi 2.18.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 220.64 na kuuzwa kwa shilingi 222.77 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 135.19 na kuuzwa kwa shilingi 136.48.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2469.68 na kuuzwa kwa shilingi 2495.31.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 18.58 na kuuzwa kwa shilingi 18.74 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.01 na kuuzwa kwa shilingi 2.23.

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 625.55 na kuuzwa kwa shilingi 631.77 huku Schilling ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.44 na kuuzwa kwa shilingi 148.74.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 17.36 na kuuzwa kwa shilingi 17.54 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 339.22 na kuuzwa kwa shilingi 342.58.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today January 13th, 2023 according to Central Bank (BoT);
S/NO Currency Buying Selling Mean Transaction Date
1 AED 625.5531 631.7743 628.6637 13-Jan-23
2 ATS 147.4367 148.7431 148.0899 13-Jan-23
3 AUD 1587.178 1603.5139 1595.3459 13-Jan-23
4 BEF 50.2921 50.7373 50.5147 13-Jan-23
5 BIF 2.1998 2.2164 2.2081 13-Jan-23
6 CAD 1712.4499 1729.0589 1720.7544 13-Jan-23
7 CHF 2494.9441 2518.7995 2506.8718 13-Jan-23
8 CNY 339.2234 342.5802 340.9018 13-Jan-23
9 DEM 920.6211 1046.4803 983.5507 13-Jan-23
10 DKK 332.1614 335.4588 333.8101 13-Jan-23
11 ESP 12.1934 12.3009 12.2471 13-Jan-23
12 EUR 2469.6839 2495.3089 2482.4964 13-Jan-23
13 FIM 341.2133 344.2369 342.7251 13-Jan-23
14 FRF 309.2862 312.022 310.6541 13-Jan-23
15 GBP 2795.2529 2824.1337 2809.6933 13-Jan-23
16 HKD 294.1334 297.0634 295.5984 13-Jan-23
17 INR 28.1464 28.4244 28.2854 13-Jan-23
18 ITL 1.0478 1.0571 1.0524 13-Jan-23
19 JPY 17.3652 17.5376 17.4514 13-Jan-23
20 KES 18.5814 18.7369 18.6592 13-Jan-23
21 KRW 1.8441 1.8615 1.8528 13-Jan-23
22 KWD 7511.9141 7584.5535 7548.2338 13-Jan-23
23 MWK 2.0884 2.2268 2.1576 13-Jan-23
24 MYR 525.7652 530.416 528.0906 13-Jan-23
25 MZM 35.4021 35.7011 35.5516 13-Jan-23
26 NLG 920.6211 928.7853 924.7032 13-Jan-23
27 NOK 230.2429 232.4451 231.344 13-Jan-23
28 NZD 1464.027 1479.5954 1471.8112 13-Jan-23
29 PKR 9.5733 10.1335 9.8534 13-Jan-23
30 RWF 2.1282 2.1838 2.156 13-Jan-23
31 SAR 611.8759 617.8301 614.853 13-Jan-23
32 SDR 3057.6382 3088.2146 3072.9264 13-Jan-23
33 SEK 220.6382 222.7719 221.7051 13-Jan-23
34 SGD 1727.3845 1744.0027 1735.6936 13-Jan-23
35 UGX 0.5969 0.6263 0.6116 13-Jan-23
36 USD 2297.594 2320.57 2309.082 13-Jan-23
37 GOLD 4324301.7788 4367962.4992 4346132.139 13-Jan-23
38 ZAR 135.1972 136.476 135.8366 13-Jan-23
39 ZMW 121.8849 126.565 124.225 13-Jan-23
40 ZWD 0.43 0.4386 0.4343 13-Jan-23

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news