Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 31,2023

CHUO cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam (DPA) kimeendelea kutoa elimu na mafunzo mbalimbali kwa maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali katika kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapotokea.

Akitoa taarifa hiyo Mei 30,20223 Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, SACP Dkt.Lazaro Mambosasa amesema kuwa, chuo hicho kimekuwa na utaratibu wa kutoa elimu kwa wanafunzi wa kozi mbalimbali wawapo chuoni hapo.Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news