Ofisi ya Rais-Utumishi yashiriki uzinduzi wa bonanza la michezo ya SHIMIWI

Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka akizundua bonanza la michezo ya SHIMIWI kwa niaba ya mgeni rasmi Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka lililofanyika leo katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza wakati wa uzinduzi wa bonanza la michezo ya SHIMIWI lililofanyika leo katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi (Wa kwanza kushoto) akisalimiana na Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka (Wa kwanza kulia) wakati wa uzinduzi wa bonanza la michezo SHIMIWI katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.
Sehemu ya watumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakimsikiliza Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka (hayupo pichani) alipokuwa akizindua bonanza la michezo ya SHIMIWI kwa niaba ya Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Dkt. Moses Kusiluka. 
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Wa tano kutoka kushoto) akiwa katika matembezi (jogging) kuelekea katika Uwanja wa Jamhuri kwa ajili ya uzinduzi wa bonanza la michezo ya SHIMIWI lililofanyika leo jijini Dodoma. Wa pili kutoka kulia ni Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka na wengine ni Viongozi wa Serikali waliohudhuria bonanza hilo.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Wa tatu kutoka kushoto) akiwasili katika Uwanja wa Jamhuri kwa ajili ya uzinduzi wa bonanza la michezo ya SHIMIWI lililofanyika leo jijini Dodoma. Wa pili kutoka kulia ni Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka. Wengine ni Viongozi wa Serikali waliohudhuria bonanza hilo.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Wa tatu kutoka kushoto) akifurahia jambo wakati wa uzinduzi wa bonanza la michezo ya SHIMIWI lililofanyika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Wa pili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Ofisi yake Bw. Juma Mkomi. Wanne kutoka kushoto ni Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka. Wengine ni Viongozi wa Serikali waliohudhuria bonanza hilo.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Wa nne kutoka kulia) akifanya mazoezi ya viungo wakati wa uzinduzi wa bonanza la michezo ya SHIMIWI lililofanyika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Wa pili kutoka kulia ni Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka. Wengine ni Viongozi wa Serikali waliohudhuria bonanza hilo.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi (Wa nne kutoka kushoto) akifanya mazoezi ya viungo wakati wa uzinduzi wa bonanza la michezo ya SHIMIWI lililofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Wengine ni Viongozi wa Serikali waliohudhuria bonanza hilo.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi (Wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na sehemu ya watumishi wa ofisi yake mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi wa bonanza la michezo ya SHIMIWI lililofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. 
Katibu Mkuu-IKULU, Bw. Mululi Majula Mahendeka akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na watumishi wa ofisi hiyo mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi wa bonanza la michezo ya SHIMIWI lililofanyika leo katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news