Rais Dkt.Samia amteua Dkt.Karume na Makinda

DODOMA-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amemteua Anna Makinda kuwa Mkuu wa Chuo cha Ushirika Moshi.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya uteuzi huo iliyotolewa leo Agosti 18, 2023 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu.

Wakati huo huo, kwa mujibu wa taarifa hiyo, Mheshimiwa Rais Dkt.Samia amemteua Rais mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt.Aman Abeid Karume kuwa Mkuu wa Chuo cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news