Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amjulia hali Mbunge Tecla Ungele

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Lindi, Tecla Ungele anayepata matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Dodoma, Novemba 21, 2023. Katikati ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dkt. Ibenzi Ernest na kulia ni Afisa Muuguzi wa Hospitali hiyo, Stanles Mahundo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news