HomeHabari Asanteni Chalinze-Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete PWANI-Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu,Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete amewashukuru wananchi kwa kuendelea kuonesha imani kubwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Tags Habari Jimbo la Chalinze Pwani Ridhiwani Kikwete Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Facebook Twitter