Rais Dkt.Mwinyi ashiriki maziko ya Charles Hilary

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi, ameshiriki katika maziko ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, marehemu Charles Martin Hilary, ambaye amezikwa katika Makaburi ya Mwanakwerekwe Mkoa wa Mjini Magharibi, tarehe 14 Mei 2025.




















Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news