Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 17,2025

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2579.35 na kuuzwa kwa shilingi 2605.14 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8441.93 na kuuzwa kwa shilingi 8512.42.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 17,2025 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1903.44 na kuuzwa kwa shilingi 1922.19 huku Fraka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3182.42 na kuuzwa kwa shilingi 3212.65.

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3505.85 na kuuzwa kwa shilingi 3542.21 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.79 na kuuzwa kwa shilingi 1.84.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.86.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 17th,2025;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED702.3982709.3449705.871517-Jun-25
2ATS165.5167166.9833166.2517-Jun-25
3AUD1684.05541701.67741692.866417-Jun-25
4BEF56.459456.959156.709317-Jun-25
5BIF0.86850.86410.866317-Jun-25
6CAD1903.43631922.1871912.811617-Jun-25
7CHF3182.4143212.65263197.533317-Jun-25
8CNY359.2355362.7874361.011417-Jun-25
9DEM1033.51631174.80951104.162917-Jun-25
10DKK401.0303405.0154403.022817-Jun-25
11ESP13.688613.809413.74917-Jun-25
12EUR2990.49443020.92033005.707417-Jun-25
13FIM383.0561386.4505384.753317-Jun-25
14FRF347.2137350.2851348.749417-Jun-25
15GBP3505.84783542.20893524.028317-Jun-25
16HKD328.5917331.8734330.232617-Jun-25
17INR30.017230.29830.157617-Jun-25
18ITL1.17631.18671.181517-Jun-25
19JPY17.923318.101318.012317-Jun-25
20KES19.994920.132520.063717-Jun-25
21KRW1.8991.91761.908317-Jun-25
22KWD8441.92758512.41678477.172117-Jun-25
23MWK1.38211.48781.434917-Jun-25
24MYR608.6235613.9854611.304517-Jun-25
25MZM40.039540.377240.208417-Jun-25
26NLG1033.51631042.68161038.098917-Jun-25
27NOK260.6901263.2252261.957717-Jun-25
28NZD1563.34191579.75691571.549417-Jun-25
29PKR8.64339.1738.908217-Jun-25
30RWF1.79611.84281.819417-Jun-25
31SAR687.5141694.3152690.914617-Jun-25
32SDR3517.68573552.86253535.274117-Jun-25
33SEK272.7937275.475274.134417-Jun-25
34SGD2016.84772036.0612026.454317-Jun-25
35UGX0.68880.72260.705717-Jun-25
36USD2579.34652605.142592.243317-Jun-25
37GOLD8807101.3628896500.9978851801.1817-Jun-25
38ZAR145.1828146.5958145.889317-Jun-25
39ZMW103.3153107.3541105.334717-Jun-25
40ZWD0.48270.49240.487617-Jun-25

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news