Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC , kilichofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui, Zanzibar leo tarehe 19 Februari 2026.




