ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewatakia wananchi na Waislamu wote Heri ya Sikukuu ya Eid El-Fitri.
"Tuendelee kudumisha maadili mema, mshikamano na upendo tuliojifunza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.Mwenyezi Mungu azipokee ibada zetu na atujaalie kheri na baraka tele.”
