Jaji Mutungi afanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

DAR-Msajili wa Vyama vya Siasa, Mhe. Jaji Mstasfu Francis Mutungi amekuta na kufanya mazungumzo na Mhe. Lazarus Chakwera, Rais wa Zamani wa Malawi na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola.
Kikao hicho ni sehemu ya ziara ya Mhe. Chakwera nchini ambapo anakutana na makundi mbalimbali ya wanasiasa, taasisi na viongozi wa Serikali.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here