Tanzania na Urusi zajadili ushirikiano wa kimkakati

DAR-Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Ellen Maduhu, amefanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Urusi nchini, Mhe. Andrey Avetisyan, katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam tarehe 22 Mei 2026.
Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kati ya Tanzania na Urusi katika sekta mbalimbali, ikiwemo elimu, biashara, afya na uwekezaji, kwa lengo la kupanua fursa za maendeleo pamoja na kuendeleza uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi kwa manufaa ya mataifa yote mawili.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here