TABORA-Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Ridhiwani Kikwete amewasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora tayari kuanza ziara yake ya kikazi iliyolenga kukagua,kuzindua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kusikiliza changamoto za wananchi katika mkoa huo.
Tags
Habari
Ofisi ya Rais-Utumishi
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete
Ridhiwani Kikwete



