Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali yatoa elimu na kuhudumia wananchi kikamilifu Maonesho ya Nanenane 2026


Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Baraka Luvanda (aliyesimama katikati) akimsikiliza Wakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Salehe Manoro alipotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa maonesho ya Nanenane yaliyofanyika kwenye viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Baraka Luvanda (aliyesimama katikati) akipokea mfuko wa zawadi kutoka kwa Wakili wa Serikali ndugu Salehe Manoro alipotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa maonesho ya Nanenane yaliyofanyika kwenye viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Balozi Baraka Luvanda akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa maonesho ya Nanenane yaliyofanyika kwenye viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela jijini Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Mhe. Suleiman Mwenda akimsikiliza Wakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Asia Killaghai alipotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa maonesho ya Nanenane yaliyofanyika kwenye viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela jijini Dodoma.
Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Mhe. Suleiman Mwenda akipokea mfuko wa zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Usimamizi wa Mashauri wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Allan Shija alipotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa maonesho ya Nanenane yaliyofanyika kwenye viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Usimamizi wa Mashauri na Udhibiti Ubora wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Camilius Ruhinda akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi hiyo tayari kuwahudumia wananchi waliotembelea banda la Ofisi hiyo kwenye maonesho ya Nanenane yaliyofanyika kwenye viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela jijini Dodoma.
Mawakili wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakitoa elimu ya msaada wa kisheria bila malipo kwa wananchi waliotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa maonesho ya Nanenane yaliyofanyika kwenye viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela jijini Dodoma.
Mawakili wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakitoa elimu ya msaada wa kisheria bila malipo kwa wananchi waliotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa maonesho ya Nanenane yaliyofanyika kwenye viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela jijini Dodoma.
Mawakili wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakitoa elimu ya msaada wa kisheria bila malipo kwa wananchi waliotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa maonesho ya Nanenane yaliyofanyika kwenye viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela, Jijini Dodoma.
Wakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Kumbukeni Kondo akimsilikiza mwananchi mwenye mahitaji maalumu ndugu Semeni Lutaja alipotembelea banda la Ofisi hiyo wakati wa maonesho ya Nanenane yaliyofanyika kwenye viwanja vya Maonesho vya Dkt. John Samuel Malecela jijini Dodoma.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here