Tumeongeza idadi ya safari kati ya Dar es Salaam na Dodoma ili kukupa urahisi zaidi wa kupanga Safari zako kila siku.
Sasa una fursa ya kuchagua muda unaokufaa zaidi, kagua ratiba hapo juu kuona muda wa kuondoka na kuwasili wa treni za Express, Royal Express, na Ordinary.
Kata Tiketi kupitia sgrticket.trc.co.tz au pakua SGR App.
Tupigie simu ya Bure 0800 110 042 au Chati nasi Whatsapp 0738 594 962
SGR TRAIN SCHEDULE FROM 1st SEPTEMBER 2026

