Waziri Mchengerwa kuweka jiwe la msingi ujenzi Hospitali ya Rufaa Mkoa na Chuo cha Afya Samia Suluhu Hassan wilayani Rufiji leo

NA DIRAMAKINI

WAZIRI wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa na Chuo cha Afya Samia Suluhu Hassan.
Hafla hiyo inafanyika leo Oktoba 04, 2026 kuanzia saa 2:30 asubuhi wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani.
Ujenzi wa miradi hiyo miwili ni sehemu ya jitihada za Serikali za kuboresha huduma za afya na kuongeza wataalamu wa afya nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here