Rais Dkt.Samia afanya mabadiliko, uteuzi wakurugenzi watendaji wa halmashauri na makatibu tawala nchini

NA GODFREY NNKO

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa.

Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Juni 7, 2023 na Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt.Moses M.Kusiluka mabadiliko haya yameanza Juni 6, 2023.Mabadiliko hayo ni kama ifuatavyo:

A) MABADILIKO YA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA

NA.JINAWILAYA ALIYOPANGIWA
  MKOA WA ARUSHA
1Khamana Juma SimbaWilaya ya Arusha
2Muhsin Omary KassimWilaya ya Monduli
3Joseph Pascal MabitiWilaya ya Arumeru
4Faraja Paschal MsigwaWilaya ya Karatu
5Nyakia Ally ChirukileWilaya ya Ngorongoro
6Rahma Othman KondoWilaya ya Longido
  MKOA WA DAR ES SALAAM
7Charangwa Selemani MakwiroWilaya ya Ilala
8Pendo Abdallah MahaluWilaya ya Kigamboni
9Stella Eward MsofeWilaya ya Kinondoni
10Nicodemus Tambo MwikoziWilaya ya Temeke
11Hassan Mohamed MkwawaWilaya ya Ubungo
  MKOA WA DODOMA
12Sara John NgalingasiWilaya ya Bahi
13Michael Andrew MagangaWilaya ya Mpwapwa
14Agustino ChazuaWilaya ya Chemba
15Neema Mulinga NyalengeWilaya ya Chamwino
16Sozi George NgateWilaya ya Kongwa
17Christina Brighton KalekeziWilaya ya Kondoa
18Sakina Mashaka MbugiWilaya ya Dodoma
  MKOA WA GEITA
19Lucy Beda WilsonWilaya ya Geita
20Onesmo Sebastian KisokaWilaya ya Bukombe
21Thomas Adayo DimmeWilaya ya Chato
22Kaunga Omary AmaniWilaya ya Nyang’wale
23Jacob JuliusWilaya ya Mbogwe
  MKOA WA IRINGA
24Frank Mastara SichalweWilaya ya Mufindi
25Michael John SeminduWilaya ya Iringa
26Estomin Mwatuyobe KyandoWilaya ya Kilolo
  MKOA WA KAGERA
27Christopher Michael BahaliWilaya ya Bukoba
28Abdallah Ibrahim NatepeWilaya ya Biharamulo
29Lukari Hatujuani AllyWilaya ya Ngara
30Benjamin Richard MwikasyegeWillaya ya Muleba
31Mwanaidi Mohamed Mang’uroWilaya ya Misenyi
32Rasul Eliud ShandalaWilaya ya Karagwe
33Mussa Waziri GumboWilaya ya Kyerwa
  MKOA WA KATAVI
34Yahya Dadi MbuluWilaya ya Mlele
35Lincoln Benny TambaWilaya ya Tanganyika
36Godfrey Tuloline MwashiteteWilaya ya Mpanda
  MKOA WA KIGOMA
37Theresia Adriano MteweleWilaya ya Kasulu
38Upendo Gidion MarangoWilaya ya Kibondo
39Maulid Abdallah MtuliaWilaya ya Kakonko
40James Godfrey MkumboWilaya ya Uvinza
41Utefta Rocket MahegaWilaya ya Buhigwe
42Mganwa Shaban NzotaWilaya ya Kigoma
  MKOA WA KILIMANJARO
43Sospeter Mabenga MagoneraWilaya ya Hai
44Johari Hamis AthumaniWilaya ya Rombo
45Upendo Bert WellaWilaya ya Same
46Rukia Ally ZuberyWilaya ya Mwanga
47Shaaban Juma MchomvuWilaya ya Moshi
48Jane Francis ChalamilaWilaya ya Siha
  MKOA WA LINDI
49Hudhaifa Kassim RashidWilaya ya Lindi
50Azilonga Buhari MwinyimvuaWilaya ya Liwale
51Yusuph Issa MwinyiWilaya ya Kilwa
52Haji Mbaruku BaloziWilaya ya Nachingwea
53Ahmed BongiWilaya ya Ruangwa
  MKOA WA MANYARA
54Mufandi Hamisi MsaghaaWilaya ya Kiteto
55Warda Abeid MaulidWilaya ya Simanjiro
56Paulo Tlatlaa BuraWilaya ya Mbulu
57Halfan Ahmed MatipulaWilaya ya Babati
58Athumani Saidi LikeyekeyeWilaya ya Hanang’
  MKOA WA MARA
59Ally Seif MwendoWilaya ya Musoma
60Salum Halfan MtelelaWilaya ya Bunda
61Saul Thom MwaisenyeWilaya ya Tarime
62Angelina Marko LubelaWilaya ya Serengeti
63Boniphace Maziku ChambiWilaya ya Rorya
64Rutegumirwa Rutalemwa PeterWilaya ya Butiama
  MKOA WA MBEYA
65Mohamed Aziz FakiliWilaya ya Mbeya
66Ally Said KiumwaWilaya ya Rungwe
67Godfrey Cassian KawachaWilaya ya Mbarali
68Michombero Rutiganda AnaklethWilaya ya Chunya
69Sabrina Hamoud RuhweyWilaya ya Kyela
  MKOA WA MOROGORO
70Ruth John MagufuliWilaya ya Morogoro
71Said Hussein NguyaWilaya ya Mvomero
72Salome Dismas MkingaWilaya ya Kilosa
73Abraham Sanga MwaikwilaWilaya ya Kilombero
74Imani Melkesed MpataliWilaya ya Ulanga
75Jeremia Anania MapogoWilaya ya Gairo
76Saida Abas MhangaWilaya ya Malinyi
  MKOA WA MTWARA
77Mwinyi Ahmed MwinyiWilaya ya Mtwara
78Fatima Said KubeneaWilaya ya Masasi
79Rashid Hamidu ShabanWilaya ya Tandahimba
80Thomas Safari HareohayWilaya ya Newala
81Juma Said KanyindaWilaya ya Nanyumbu
  MKOA WA MWANZA
82Abdi Mohamed MkangeWilaya ya Misungwi
83Jubilete Win LauwoWilaya ya Magu
84Mohamed Mussa MtulyakwakuWilaya ya Kwimba
85Cuthbert Usi MidalaWilaya ya Sengerema
86Thomas James SalalaWilaya ya Nyamagana
87Mariam Abubakari MsengiWilaya ya Ilemela
88Alan Augustine MhinaWilaya ya Ukerewe
  MKOA WA NJOMBE
89Agatha Olivia MhaikiWilaya ya Njombe
90Grace Huruma MgeniWilaya ya Makete
91Gilbert Ezekiel SandagilaWilaya ya Ludewa
92Veronica Gerald SangaWilaya ya Wanging’ombe
  MKOA WA PWANI
93Sarah Sudi NgwereWilaya ya Bagamoyo
94Moses Gerald MagogwaWilaya ya Kibaha
95Bupe Hezron MwakibeteWilaya ya Kisarawe
96Olivanues Paul ThomasWilaya ya Mafia
97Omary Saidi MwangaWilaya ya Mkuranga
98Ayubu Yasin SebabileWilaya ya Rufiji
99Mariam Francis KatemanaWilaya ya Kibiti
  MKOA WA RUKWA
100Torry Mkama ChrisantWilaya ya Nkasi
101Moses Gabriel MasingaWilaya ya Sumbawanga
102Servi N. JosephatWilaya ya Kalambo
  MKOA WA RUVUMA
103Hassan Bakari NyangeWilaya ya Namtumbo
104Milongo Rashi SangaWilaya ya Tunduru
105Mtella Allam MwampambaWilaya ya Songea
106Salumu Mohamed IsmailWilaya ya Nyasa
107Pendo Daniel NdumbaroWilaya ya Mbinga
  MKOA WA SHINYANGA
108Hamad Rajabu MbegaWilaya ya Kahama
109Neema Michael DachiWilaya ya Kishapu
110Said Raphael KitingaWilaya ya Shinyanga
  MKOA WA SIMIYU
111Justine Joseh MankoWilaya ya Bariadi
112Athuman Zahoro KalagheWilaya ya Maswa
113Eliasa Kassim MtarawanjeWilaya ya Meatu
114Mwanana Uwesu MsumiWilaya ya Itilima
115Japhari Kubecha MghambaWilaya ya Busega
  MKOA WA SINGIDA
116James Mpanduji MchembeWilaya ya Manyoni
117Warda Abdallah ObathanyWilaya ya Iramba
118Goodluck Abinala MangomangoWilaya ya Singida
119Rashid Mohamed RashidWilaya ya Ikungi
120Peter Nicholas MasindiWilaya ya Mkalama
  MKOA WA SONGWE
121Reuben Michael ChongoloWilaya ya Songwe
122Abdallah Ramadhan MayomboWilaya ya Ileje
123Mbwana Rajabu KambangwaWilaya ya Mbozi
124Frank John MkindaWilaya ya Momba
  MKOA WA TABORA
125Asha Juma ChuruWilaya ya Tabora
126Neema Fidelis MfugaleWilaya ya Uyui
127Innocent Mahendeka NsenaWilaya ya Urambo
128Elizabeth Emmanuel RwegasiraWilaya ya Igunga
129Winfrida Emmanuel FuntoWilaya ya Nzega
130Andrea Izziga Ng’waniWilaya ya Sikonge
131Mwamvua Bakari MnyongoWilaya ya Kaliua
  MKOA WA TANGA
132Joseph Sostenes SuraWilaya ya Lushoto
133Mwanaidi Adadi RajabuWilaya ya Korogwe
134Magreth George KilloWilaya ya Handeni
135Mikaya Tumaini DalmiaWilaya ya Tanga
136Mohamed Mussa MfakiWilaya ya Muheza
137Ester Zulu GamaWilaya ya Pangani
138Salum Abdul PalangoWilaya ya Mkinga
139Tamko Mohamed AllyWilaya ya Kilindi

B) MABADILIKO YA WAKURUGENZI WATENDAJI WA HALMASHAURI ZA SERIKALI ZA MITAA

NA.JINAHALMASHAURI ALIYOPANGIWA
  MKOA WA ARUSHA
1Stephen Anderson UlayaHalmashauri ya Wilaya ya Longido
2Zainabu Juma MakwinyaHalmashauri ya Wilaya ya Meru
3Juma Mussa HokororoHalmashauri ya Wilaya ya Karatu
4Nassoro Bilal ShemzigwaHalmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro
5Selemani Hamis MsumiHalmashauri ya Wilaya ya Arusha
6Happiness Raphael LaizerHalmashauri ya Wilaya ya Monduli
7Juma Hamsini SephHalmashauri ya Jiji la Arusha
  MKOA WA DAR ES SALAAM
8Hanifa Suleiman HamzaHalmashauri ya Manispaa ya Kindondoni
9Elias Runeye NtiruhungwaHalmashauri ya Manispaa ya Ubungo
10Elihuruma MabelyaHalmashauri ya Manispaa ya Temeke
11Erasto Nehemia KiwaleHalmashauri ya Manispaa ya Kigamboni
12Jomary Mrisho SaturaHalmashauri ya Jiji la Dar es Salaam
  MKOA WA DODOMA
13Omary A. NkulloHalmashauri ya Wilaya ya Kongwa
14Mwanahamisi Haidari AllyHalmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa
15Siwema Hamud JumaaHalmashauri ya Wilaya ya Chemba
16Shaban Kapala MillaoHalmashauri ya Wilaya ya Kondoa
17Paul Mamba SweyaHalmashauri ya Mji wa Kondoa
18Zaina Mfaume MlawaHalmashauri ya Wilaya ya Bahi
19Semistatus Hussein MashimbaHalmashauri ya Wilaya ya Chamwino
20John Lipesi KayomboHalmashauri ya Jiji la Dodoma
  MKOA WA GEITA
21Lutengano George MwalwibaHalmashauri ya Wilaya ya Bukombe
22Husna Toni ChamboHalmashauri ya Wilaya ya Nyang’wale
23Zahara Muhidin MichuziHalmashauri ya Mji wa Geita
24Karia Rajabu MagaroHalmashauri ya Wilaya ya Geita
25Mandia Hassan KihiyoHalmashauri ya Wilaya ya Chato
26Saada Selemani MwarukaHalmashauri ya Wilaya ya Mbogwe
  MKOA WA IRINGA
27Lain Ephraim KamenduHalmashauri ya Wilaya ya Kilolo
28Charles Edward FussiHalmashauri ya Wilaya ya Mufindi
29Ayubu Juma KambiHalmashauri ya Mji wa Mafinga
30Bashir Paul MhojaHalmashauri ya Wilaya ya Iringa
31Kastori G. MsigalaHalmashauri ya Manispaa ya Iringa
  MKOA WA KAGERA
32Michael Francis NzyunguHalmashauri ya Wilaya ya Karagwe
33Hamid Ahmed NjovuHalmashauri ya Manispaa ya Bukoba
34Inncocent M. MukandalaHalmashauri ya Wilaya ya Biharamulo
35James Marco JohnHalmashauri ya Wilaya ya Kyerwa
36Solom Obedi KimilikeHalmashauri ya Wilaya ya Ngara
37Peter Maiga NyanjaHalmashauri ya Wilaya ya Muleba
38Fatina Hussein LaayHalmashauri ya Wilaya ya Bukoba
39John Paul WangaHalmashauri ya Wilaya ya Misenyi
  MKOA WA KATAVI
40Juma Shaaban JumaHalmashauri ya Wilaya ya Tanganyika
41Teresia Aloyce IrafayHalmashauri ya Wilaya ya Mlele
42Sophia Juma KumbuliHalmashauri ya Wilaya ya Mpanda
43Mohamed R. NtanduHalmashauri ya Wilaya ya Nsimbo
44Shamim Daudi MwarikoHalmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe
  MKOA WA KIGOMA
45Athumani Francis MsabilaHalmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji
46Ndaki Stephano MuhuliHalmashauri ya Wilaya ya Kakonko
47Essau Hosiana NgolokaHalmashauri ya Wilaya ya Buhigwe
48Josephat Kashushuru RwizaHalmashauri ya Wilaya ya Kasulu
49Deocleus M. RutemaHalmashauri ya Wilaya ya Kibondo
50Dollar Rajab KusengeHalmashauri ya Mji wa Kasulu
51Rose Robert ManumbaHalmashauri ya Wilaya ya Kigoma
52Zainabu Suleman MbundaHalmashauri ya Wilaya ya Uvinza
  MKOA WA KILIMANJARO
53Rashid Karim GembeHalmashauri ya Manispaa ya Moshi
54Dionis Maternus NyingaHalmashauri ya Wilaya ya Hai
55Anastazia Tutuba RuhamvyaHalmashauri ya Wilaya ya Same
56Mwajuma Abasy NasombeHalmashauri ya Wilaya ya Mwanga
57Dodwin Justin ChachaHalmashauri ya Wilaya ya Rombo
58Shadrack M. MhagamaHalmashauri ya Wilaya ya Moshi
59Haji Musa MnasiHalmashauri ya Wilaya ya Siha
  MKOA WA LINDI
60Tina Amelye SekamboHalmashauri ya Wilaya ya Liwale
61George Emmanuel MbilinyiHalmashauri ya Wilaya ya Mtama
62Juma Ally MnweleHalmashauri ya Manispaa ya Lindi
63Chionda Mfaume KawawaHalmashauri ya Wilaya ya Nachingwea
64Frank Fabian ChonyaHalmashauri ya Wilaya ya Ruangwa
65Hanan Mohamed BafaghHalmashauri ya Wilaya ya Kilwa
  MKOA WA MANYARA
66Francis E. NamaumboHalmashauri ya Wilaya ya Hanang
67Upendo Eric MangaleHalmashauri ya Mji wa Babati
68Abubakar Abdullah KuuliHalmashauri ya Wilaya ya Mbulu
69Hawa Abdul HassanHalmashauri ya Wilaya ya Kiteto
70Anna Philipo MbogoHalmashauri ya Wilaya ya Babati
71Yefred Edson MyenziHalmashauri ya Mji wa Mbulu
72Gracian Max MakotaHalmashauri ya Wilaya ya Simanjiro
  MKOA WA MARA
73Solomon Isaack ShatiHalmashauri ya Wilaya ya Tarime
74Changwa Mohamed MkwazuHalmashauri ya Wilaya ya Bunda
75Bosco Addo NdunguruHalmashauri ya Manispaa ya Musoma
76Emmanuel John MkongoHalmashauri ya Mji wa Bunda
77Gimbana Emmanuel NtavyoHalmashauri ya Mji wa Tarime
78Abdul Omari MtakaHalmashauri ya Wilaya ya Rorya
79Aziza Juma BarutiHalmashauri ya Wilaya ya Butiama
80Palela Msongela NituHalmashauri ya Wilaya ya Musoma
81Afraha Nassoro HassanHalmashauri ya Wilaya ya Serengeti
  MKOA WA MBEYA
82Misana Kalela KwanguraHalmashauri ya Wilaya ya Mbalali
83Renatus Blas MchauHalmashauri ya Wilaya ya Rungwe
84Tamim Hamad KambonaHalmashauri ya Wilaya ya Chunya
85Loema Peter IsaayHalmashauri ya Wilaya ya Busokelo
86Stephen Edward KatembaHalmashauri ya Wilaya ya Mbeya
87Florah Angelo LuhalaHalmashauri ya Wilaya ya Kyela
88John John NchimbiHalmashauri ya Jiji la Mbeya
  MKOA WA MOROGORO
89Joanfaith John KataraiaHalmashauri ya Wilaya ya Morogoro
90Ally Hamu MachelaHalmashauri ya Manispaa ya Mororogoro
91Rehema Said BwasiHalmashauri ya Wilaya ya Malinyi
92Saida Adamjee MahunguHalmashauri ya Wilaya ya Ulanga
93Lena Martin NkayaHalmashauri ya Mji wa Ifakara
94Kisena Magena MabubaHalmashauri ya Wilaya ya Kilosa
95Stephano Bulili KaliwaHalmashauri ya Wilaya ya Mlimba
96Sharifa Yusuf Nabalang’anyaHalmashauri ya Wilaya ya Gairo
97Linno Pius MwageniHalmashauri ya Wilaya ya Mvomero
  MKOA WA MTWARA
98Geofrey Moses NauyeHalmashauri ya Mji wa Newala
99Duncan Golden ThebasHalmashauri ya Wilaya ya Newala
100Emmanuel H. MwaigobekoHalmashauri ya Manispaa ya Mtwara
101Tatu Said IssikeHalmashauri ya Wilaya ya Mtwara
102Ibrahim John MwanautaHalmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu
103Thomas Edwin MwailafuHalmashauri ya Mji wa Nanyamba
104Beatrice Claver MwinukaHalmashauri ya Wilaya ya Masasi
105Erica Epaphras YegelaHalmashauri ya Mji wa Masasi
106Mariam Said MwanzalimaHalmashauri ya Wilaya ya Tandahimba
  MKOA WA MWANZA
107Happiness Joachim MsangaHalmashauri ya Wilaya ya Kwimba
108Emmanuel L. SherembiHalmashauri ya Wilaya ya Ukerewe
109Kibamba Kiomoni KiburwaHalmashauri ya Manispaa ya Ilemela
110Fidelica Gabriel MyovellaHalmashauri ya Wilaya ya Magu
111Binuru Musa ShekideleHalmashauri ya Wilaya ya Sengerema
112Joseph Constantine MafuruHalmashauri ya Wilaya ya Misungwi
113Aron KagurumjuliHalmashauri ya Jiji la Mwanza
114Benson Peter MihayoHalmashauri ya Wilaya ya Buchosa
  MKOA WA NJOMBE
115Sunday Deogratius NdoriHalmashauri ya Wilaya ya Ludewa
116William Mathew MakufweHalmashauri ya Wilaya ya Makete
117Christopher Aloyce SangaHalmashauri ya Wilaya ya Njombe
118Maryam Ahmed MuhajiHalmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe
119Keneth Keneth HauleHalmashauri ya Wilaya ya Makambako
120Kuluthum Amour SadickHalmashauri ya Mji wa Njombe
  MKOA WA PWANI
121Michael John GwimileHalmashauri ya Wilaya ya Rufiji
122Waziri Khachi KomboHalmashauri ya Wilaya ya Mkuranga
123Mshamu Ally MundeHalmashauri ya Mji wa Kibaha
124Ramadhani Salmin PossiHalmashauri ya Wilaya ya Chalinze
125Kassim Seif NdumboHalmashauri ya Wilaya ya Mafia
126Butamo Nuru NdalahwaHalmashauri ya Wilaya ya Kibaha
127Shauri Selenda MsuyaHalmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo
128Beatrice Dominic KwaiHalmashauri ya Wilaya ya Kisarawe
129Hemedi Saidi MagoriHalmashauri ya Wilaya ya Kibiti
  MKOA WA RUKWA
130Lightness Stanley MsemoHalmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
131Wiliam A. MwakalambileHalmashauri ya Wilaya ya Nkasi
132Shafi Kassim MpendaHalmashauri ya Wilaya ya Kalambo
133Catherine Michael MashallaHalmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga
  MKOA WA RUVUMA
134Chiriku Hamisi ChilumbaHalmashauri ya Wilaya ya Namtumbo
135Neema Michael MaghembeHalmashauri ya Wilaya ya Songea
136Chiza Cyprian MarandoHalmashauri ya Wilaya ya Tunduru
137Khalid Abdilahi KhalifHalmashauri ya Wilaya ya Nyasa
138Juma Haji JumaHalmashauri ya Wilaya ya Mbinga
139Amina Hamisi SeifHalmashauri ya Mji wa Mbinga
140Frederick Damas SagamikoHalmashauri ya Manispaa ya Songea
141Sajidu Idrisa MohamedHalmashauri ya Wilaya ya Madaba
  MKOA WA SHINYANGA
142Alexius Revocatus KagunzeHalmashauri ya Manispaa ya Shinyanga
143Khamis Jaaphar KatimbaHalmashauri ya Wilaya ya Msalala
144Hadija Mohamed KabojelaHalmashauri ya Wilaya ya Ushetu
145Anderson David MsumbaHalmashauri ya Manispaa ya Kahama
146Emmanuel Johnson MatinyiHalmashauri ya Wilaya ya Kishapu
147Simon Sales BeregeHalmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
  MKOA WA SIMIYU
148Elizabeth Mathias GumboHalmashauri ya Wilaya ya Itilima
149Maisha Selemani MtipaHalmashauri ya Wilaya ya Maswa
150Veronica Vicent SayoreHalmashauri ya Wilaya ya Busega
151Adrian Jovin JunguHalmashauri ya Mji wa Bariadi
152Halidi Muharami MbwanaHalmashauri ya Wilaya ya Bariadi
153Hamis Athman MasasiHalmashauri ya Wilaya ya Meatu
  MKOA WA SINGIDA
154Esther Ananiah ChaulaHalmashauri ya Wilaya ya Singida
155Asia Juma MessosHalmashauri ya Wilaya ya Mkalama
156Justice Lawrance KijaziHalmashauri ya Wilaya ya Ikungi
157Michael Augustino MatomoraHalmashauri ya Wilaya ya Iramba
158John Kulwa MgalulaHalmashauri ya Wilaya ya Itigi
159Jeshi Godfrey LupembeHalmashauri ya Manispaa ya Singida
160Jimson Peter MhagamaHalmashauri ya Wilaya ya Manyoni
  MKOA WA SONGWE
161Philemon Mwita MagesaHalmashauri ya Mji wa Tunduma
162Regina Lazaro BiedaHalmashauri ya Wilaya ya Momba
163Abdallah Hamis NandondeHalmashauri ya Wilaya ya Mbozi
164Cecilia Donath KavisheHalmashauri ya Wilaya ya Songwe
165Nuru Waziri KindambaHalmashauri ya Wilaya ya Ileje
  MKOA WA TABORA
166Modest Joseph ApolinaryHalmashauri ya Wilaya ya Nzega
167Jerry Daimon MwagaHalmashauri ya Wilaya ya Kaliua
168Grace Stephano QuintineHalmashauri ya Wilaya ya Urambo
169Selemani Mohamed PandaweHalmashauri ya Wilaya ya Sikonge
170Leokadia Gotham HumeraHalmashauri ya Wilaya ya Uyui
171Shomari Salum MndolwaHalmashauri ya Mji wa Nzega
172Elias Mahwago KayandabilaHalmashauri ya Manispaa ya Tabora
173Mwantum Hamis MgonjaHalmashauri ya Wilaya ya Igunga
  MKOA WA TANGA
174Spora Jonathan LianaHalmashauri ya Jiji la Tanga
175Saidi MajaliwaHalmashauri ya Wilaya ya Kilindi
176Isaya Mugishangwe MbenjeHalmashauri ya Wilaya ya Pangani
177Zahra Abdul MsangiHalmashauri ya Wilaya ya Mkinga
178Ikupa MwasyogeHalmashauri ya Wilaya ya Lushoto
179Mariamu Ukwaju MasebuHalmashauri ya Mji wa Handeni
180Halfan Hashim MaganiHalmashauri ya Wilaya ya Korogwe
181Baraka Michael ZikatimuHalmashauri ya Wilaya ya Bumbuli
182Saitoti Zelothe StephenHalmashauri ya Wilaya ya Handeni
183Sakina Jumanne MohamedHalmashauri ya Mji wa Korogwe
184Juma Mohamed MhinaHalmashauri ya Wilaya ya Muheza

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news